Friday, August 22, 2014

WEKA SAHIHI KUPINGA UCHAGUZI USIO HURU NA HAKI WA DMV 2014

WE NEED TO SHARE AND SIGN THIS PETITION ASAP. WE CAN'T JUST TALK THE TALK, CLICK THE LINK AND SIGN

WE HAVE 100 SIGNATURES; FEW TO GO

PINGA UCHAGUZI WA AUGUST 9, 2014


Maswali muhimu
-Kwa nini Ndg. Hamza kaja na matokeo after 24hrs ambayo katuongezea kura moja moja wagombea bila kushirikisha wakala

-Where did the 15 votes came from (hizi kura have change the whole election kwani Idd anaongoza kwa kura 13)

-Kwa nini Hamza Mwamoyo atoe matokeo badala ya Tume

-Menyekiti wa Tume alikataa kutangaza matokeo na kusema uchaguzi ni VOID

-Ilimchukua  siku tatu Mzee wetu Safari ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kutangaza mshindi

-Hamza Mwamoyo ana mamlaka gani ya kutangaza matokeo na yeye sio Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

-Mwisho, kuna conflict of interest; Hamza Mwamoyo ni mwenyekiti wa Board ya TAMCO na Idd Sandaly alikuwa M'kiti na Treasury wa TAMCO. Kwa nini Ndg. Hamza aondoke na kura zote?


Team Libe 223 (50% of the voters) supporters' voices MUST BE HEARD 


No comments: