Wednesday, August 6, 2014

JUST IN: UCHAGUZI DMV: LIBERATUS MWANGOMBE ANA KWA ANA NA SAM PRO STUDIO

Mgombea wa kiti cha Urais DMV, Liberatus Mwangombe "Libe" amefanya mahojiona na Sam Pro Studio mapema leo hii. Ndg. Liberatus ameongelea mambo mengi, baadhi ya mambo hayo ni 

- Historia yake
-Ni kwa nini anagombea Urais DMV
- Mambo ambayo ameona hayaendi vizuri kwenye Jumuia
-Changamoto za wana DMV na jinsi ya kuzitatua
-Namna ya kuwaunganisha waTanzania hapa DMV
-Matatizo yanayozikumba jumuia zetu ya hapa DMV na kwingine

Na mengine mengi. Tukae mkao wa kula kwa "video" ambayo haya yote yameelezwa na Ndg. Liberatus Mwangombe

 Juu na chini ni Liberatus Mwangombe akiwa kwenye mahojiano na Georgina Lema


Kwa habari za Liberatus Mwangombe, click here


Kama una swali kuhusu uchaguzi, wasiliana na Team Libe for DMV Community President 2014 ili upate muongozo juu ya huu uchaguzi wa kihistoria

Wasiliana na :

Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager   202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass.  Manager     240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist                  301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser                                240-426-8271
Liberatus Mwangombe/Libe                              240-423-3331



UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL

No comments: