Monday, August 4, 2014

BREAKING NEWS: UCHAGUZI DMV: DJ DAVE ENDORSES LIBE: MORE DMV’s DJ FOR LIBERATUS MWANGOMBE “LIBE”

IT WAS DJ “JOE CATDADDY”,  “THEN DJ SEIF”, THEN “TERRY SHOMARY” THE LIST GOES ON AND ON… TODAY IS DJ DAVE

 LIBE ANA STAHILI FURSA

Naitwa DJ Dave,  bila kuwa na chembe ya shaka, Libe ndio TURUFU ya  DMV kwa kipindi hiki cha mpasuko mkubwa.  Mimi na familia yangu tumeamua kusimama na Liberatus Mwangombe “Lbe” kwenye uchaguzi huu kwa sababu kuu mbili:

Mosi, Libe ni mtu mkweli, mtu wa haki, huwa hajikwezi, na yupo wazi kwa kupokea mawazo

Pili, mimi na familia yangu tuna simama na Liberatus Mwangombe “Libe” kwa sababu nimemshuhudia Libe akikua na tuna amini ana stahili “FURSA”. Libe deserves a chance!

Kwa maelezo zaidi juu ya "Team Libe for DMV Community president 2014" wasiliana na:

Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager 202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass.  Manager   240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist                 301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser                               240-426-8271 
Liberatus Mwangombe "Libe                         240-423-3331

UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL


No comments: