Eric akijifunza kutembea tena
Leo Eric amefaulu zoezi la kutembea na mguu wake wa pili, hivyo basi ameruhusiwa kurudi nao nymbani
The true brotherhood: Eric and Liberatus "Libe"
Juu na chini: Eric na Libe wakiwa Rehabilitation Center. Leo Eric amefaulu zoezi la kutembea na mguu wake wa pili, hivyo basi ameruhusiwa kurudi nao nyumbani
No comments:
Post a Comment