Liberatus Mwang'ombe "Libe" mgombea wa kiti cha Urais DMV amtembelea Ndg. Amos Mushara kwa ajili ya kupata mawazo juu ya kuendesha jumuia kwa mafanikio. Ikumbukwe; moja ya sera za Liberatus ni kuunda baraza la ushauri ambalo litaundwa na wazee na viongozi wa dini mbali mbali. Libe ameona si haba kupita kwa Ngd. Mshala na kupata maono. Huyu ndio Libe kijana msikivu na yupo na mawazo huru. Libe anaamini kwenye "Collective decision" makinng or "The rule of engagement"
Libe (kushoto) aki peana mikono na aliye kuwa Rais wa DMV MWAKA 1995 Ngd. Amos Mshara
Kama una swali kuhusu uchaguzi, wasiliana na Team Libe for DMV Community President 2014 ili upate muongozo juu ya huu uchaguzi wa kihistoria
Wasiliana na :
Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager 202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass. Manager 240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist 301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser 240-426-8271
Liberatus Mwangombe/Libe 240-423-3331
UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL
No comments:
Post a Comment