Mimi naitwa Moza khamis (Bi Moza), napenda
kuwaomba ndugu jamaa, marafiki na waTanzania
wenzangu wapenda maendeleo; kuniunga mkono kwa kumsupport Liberatus Mwangombe “Libe”.
Maisha ya nje na ndani ni maisha.
Tumevuka mabahari ili kuja kutafuta, kwahiyo tusiitupe bahati hii ya
kumchagua Libe. Kulingana na uzoefu wangu wa maisha, kuna kitu nakiona ndani ya
huyu kijana; NAOMBA WANA DMV TUMPE FURSA LIBE.
Mungu ametuletea Libe. Tumpe kura za ndio ndugu
yetu Libe kwa umoja wetu watanzania
LIBE ATOSHA
Bi Moza
Thanks
Bi Moza ni mjasilimali wa kweli. Tazama Video hii
No comments:
Post a Comment