We can certain confirm that Ismail Mwilima has endorsed Liberatus
Mangombe “Libe” for DMV Community
president 2014
Ismael Mwilima
Credentials
Bachelor of Business Administration
Masters of Business (MBA)
Ismail says:
“Mimi, Ismael Mwilima ninaye gombania nafasi ya ukatibu ndani ya
jumuiya ya DMV ninamuendorse Liberatus Mwang'ombe kwani yeye ni mtu asiye
watumia watu kwa manufaa yake mwenyewe. Idd Sandaly aliniomba mimi niandike
barua ili uchaguzi usifanyike tarehe 20 mwezi wa July ndani ya mwezi mtukufu
ili wanajumuiya waendelee na shughuli za kiroho na kumcha mwenyezi mungu. Mimi
niliandika barua hiyo kuyiomba tume ibadilishe tarehe na nikaipeleka kwa tume
ya uchaguzi na bodi ya jumuiya ila tarehe mpya ilipo tolewa Idd Sandaly hakuwa
na mimi kunisaidia tarehe ya uchaguzi
ibadilishwe mpaka nirudi toka safirini ambako nipo kikazi. Wana jumuiya mnatakiwa kujua kuwa ni mimi
Ismael Mwilima na dada Jasmine Lubama ndio watu pekee tulio andika barua mnamo
tarehe 18 mwezi June kuwa uchachaguzi usifanyike mpaka mwezi mtukufu uishe”
UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL
No comments:
Post a Comment