UCHAGUZI DMV NA MDAHALO TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY 2014
Baada ya mahojiano na Jamii Production ikishilikiana na
Vijimambo Blog yaliyo fanyika Ubalozini Wshington D.C. August 8, 2013 na
Liberatus Mwangombe; kumekuwa na malalmiko kuwa Ndg. Idd Sandaly hakuwa na
fursa ya kujibu shutuma. “Team Libe for
DMV Vommunity President 2014” bado inasisitiza kuwa ipo wazi kwa debate
(mdaharo)
Tuna masaa zaidi ya 15 hadi uchaguzi utakao fanyika kesho
mchana kuanzia saa 8 (2pm); hivyo basi, “Timu Libe for DMV Community President
2014” tupo wazi kwa mdaharo hata Jumamosi asubuhi kabla ya uchaguzi. Tunaomba kwa ukarimu na moyo wa dhati Ndg.
Bandio na DJ Lu (Lucas) kama wanaweza kuwezesha mdaharo huo leo jumamosi
asubuhi watujurishe; tutashiriki bila kikwazo.
UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL
No comments:
Post a Comment