LIBE ATOSHA
Mimi Kuringe Takure namfagilia Libe Shujaa Huru. Kama unataka kuwa Shujaa Huru wa fikra you know the side to choose.
Kama alivyo sema Bi Moza "LIBE ATOSHA"
Kuringe katikati na jezi ya Barcelona
Libe ni kati ya watu ambao nimekutana nao hapa USA wenye uwezo wa kusimamia vitu na wasemalo. Nacheza Soccer na Libe; hajawahi kutu angusha kwenye kusimamia timu. He is always on time and proffessional; hapendelei. Ni mtu wa haki na husimamia anacho amini. Join me tomorrow to put Libe in the office
No comments:
Post a Comment