Mgombea wa kiti cha Urais DMV, Liberatus Mwangombe "Libe" amefanya mahojiona naSam Pro Studio mapema leo hii. Ndg. Liberatus ameongelea mambo mengi, baadhi ya mambo hayo ni
- Historia yake
-Ni kwa nini anagombea Urais DMV
- Mambo ambayo ameona hayaendi vizuri kwenye Jumuia
-Changamoto za wana DMV na jinsi ya kuzitatua
-Namna ya kuwaunganisha waTanzania hapa DMV
-Matatizo yanayozikumba jumuia zetu ya hapa DMV na kwingine
Na mengine mengi. Tukae mkao wa kula kwa "video" ambayo haya yote yameelezwa na Ndg. Liberatus Mwangombe
No comments:
Post a Comment