Friday, August 1, 2014

NEWS ALERT: UCHAGUZI DMV: IDD SANDALY AKATAA KUTOA NYARAKA ZA JUMUIA


"Team Libe for DMV Community President 2014" July 9, 2014 tuliomba nyaraka za jumuia. Cha kushangaza ni kuwa; ATC Metro Board of Trustee na uongozi wa Idd Sandaly haukutupa majibu hadi tulipo kutana kwenye kikao na Balozi Mulamula siku ya Ijumaa July 18, 2014. 

Tulipo kutana Ubalozini "Team Libe for DMV Community President 2014" tulitoa hoja kuwa tumeomba nyaraka za jumuia zaidi ya wiki moja, cha kusikitisha kumekuwa hakuna majibu. Siku hiyo ya kikao na Balozi Mulamula tulikumbushia hizo nyaraka; Ndg. Idd Sandaly alikataa kutoa nyaraka hizo kwa madai kuwa "Timu Libe for DMV Community President 2014" inataka kuzitumia hizo nyaraka kunishambulia nazo kwenye kampeni."  

Maswali ya kujiuliza ni kuwa;

-Je, kama hizo nyaraka hazijachakachuliwa, ni kwa nini Ndg. Idd Sandaly aogope kuzitoa  kipindi hiki cha kampeni?

-Je, kuna tatizo gani hadi Ndg. Idd Sandaly anakataa kutoa nyaraka za jumuia hadi awe na wasiwasi ya kutumika kwenye kampeni kumuweka wazi?

-Je, kuna madudu gani kwenye nyaraka za jumuia hadi Ndg. Idd Sandaly akatae kuzito na kuogopa "Team Libe for DMV Community President 2014" kuziona kipindi hiki cha kampeni?

Hapa chini ni barua ambayo tuliandika na kuituma July 9, 2014 kwenye Board of Trustee, Tume ya Uchaguzi na uongozi wa Idd Sandaly. Barua hii haikujibiwa! Na ubalozini walisema tungepata "Financial Statement tu"; lakini hadi leo hatuja pata hiyo Financial Statement. 

DATE:         July 9, 2014


TO:            Board of Association of Tanzania community Metro
FROM:          Team Libe for DMV Community President
SUBJECT:     Request for Records
CC:                ATC Metro Election Committee,
                       Genes Malsy, ATC Metro Treasurer


To Whom It May Concern:

This letter serves as a formal request for the production of the documents listed below.

-All documented projects for the past two years
-2012 and 2013 financial statements
-Year to date financial statements for 2014
-The book projects; this includes the storage receipts, how many books, address of the storage and status of this project
-Please provide a convenient location for membership payments to be made. The website http://watanzaniadmv.org does not allow members to pay by installments. It only has $120.00 option.
-Status of ATC Metro Tanzania Community Presidential debate. Specifically; if there shall be a debate or not
-Number and names of registered voters as of today
-Tax exemption certificate for ATC Metro
-Copy of registration for ATC Metro

Kindly please make these certified copies of original documents available for pick up to the earliest date possible before Thursday, July 16, 2014.

This request has been made in accordance to good faith and practice of transparency. As a member of Association of Tanzania Community I have the right to access the association documents and records without limitations. This will serve my campaign and legitimacy of our activities in the public areas according to the state laws governing public gatherings.

If you have any questions regarding this request, please contact me at 240-423-333.

Regards

Team Libe for  DMV Community President

UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL


No comments: