Saturday, August 2, 2014

EXCLUSIVE: UCHAGUZI DMV: Hassan aka Doc Dre endorses Liberatus Mwangombe "Libe"

Jina langu Doc Dre, leo hii namu-endorse rasmi Liberatus Mwang'ombe "Libe" for DMV Community President



Katika kampeni za uchaguzi wa Jumuiya ya waTanzania DMV zinazoendelea kila siku mjini hapa Bwana Liberatus Mwang’ombe mwezi uliopita, niliwahi kuzisikia  sera zake za wazi za kuwania kiti cha urais wa jumuiya hiyo wakati alipokuwa akitoa hotuba pamoja na wagombea wezake, siku ya jumamosi June 28, 2014 katika kiwanja cha Meadowbrook Park kiliopo Chevy Chase Maryland nchini Marekani.

Bwana Libe aliweza kuzungumzia kuhusu marekebisho ya ubadilishaji wa vifungu vya katiba zinavyomkaba Mtanzania anaeishi hapa DMV; kulipa ada, ndipo apate fursa/haki ya kupiga kura. Kitendo ambach hata mimi binafsi sikufurahishwa nacho.

Libe  alisema vifungu hivyo atakapochaguliwa atakuwa tayari kuviondoa, pale tu atakapokubaliana na wanajumuiya kutokana na kutowapa furasa watu waTanzania wanaoishi hapa DMV kutopiga kura hadi walipe ada na kuwa wanachama hai ndipo wapige kura wakiwa kama wazaliwa halisi wa Tanzania tunaoishi hapa DMV.



Bwana Liberatus Mwang’omb ambae ni mgombeya wa Jumuiya ya waTanzania DMV alisema juu ya mfumo mzima wa ushirikiano wa kuendesha Jumiaya hiyo bila ya kujali idikati ya mtu yoyote ile kuwa kitu kimoja na kuonyesha umoja na mshikamano kwaajili ya maendeleao ya mTanzania alie hapa DMV,  pamoja na kuitangaza nchi yetu Tanzania na kuwa wazalendo wa ukweli na wakujitolea pale mTanzania mara tu atakapofikwa na matatizo ya aina yoyote yale.

Nikiwa kama mwana DMV  ninaependa mabadiliko kuona tunasonga mbele napenda sana kwashauri waTanzania wenzangu wanaoishi hapa kumpigia KURA Liberatus Mwang'ombe kwani nikijana shupavu na anaependa kuongea vitu  vya ukwe limtupu na kuweka uzalendo mbele zaidi

Habari na Ebou Shtry/Swahilivilla
Kwa maelezo zaidi juu ya "Team Libe for DMV Community president 2014"  mwangombe Libe" wasiliana na:
 
Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager 202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass.  Manager   240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist                 301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser                               240-426-8272 


UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

No comments: