YAH: KUTOTUMIA PICHA ZETU
KWENYE CAMPAIGN YENU
"Timu
Iddy" mkishirikiana na Vijimambo, tumesikitishwa na tabia yenu ya kujichukulia
picha ya matukio tuliyohudhuria katika jumuiya na kuzitumia kwenye campaign
bila ridhaa yetu.
Hatujafurahishwa
na tumeshangaa namna msivyoheshimu wanajumuiya kujichukulia maamuzi bila kujali
hisia za wahusika.
Secilia, Martha, Rehema, Recho na Edina tunawapa
siku 2 tu kuondoa picha yetu kwenye tangazo/matangazo yenu ya campaign kwa
sababu zifuatazo:
- Hakuna hata mmoja wetu aliyeombwa na team yako kutumia picha yetu/zetu
- Ni kinyume na maadili na ni kutotunza siri (privacy) za picha anazomiliki Dj Luka
- Sisi wote tupo "Team Libe for DMV Community President 2014" na kura zetu zinaenda kwa Libe bila kipingamizi chochote
- Uongozi wako na timu nzima tumieni busara kuwasiliana na kuwasilisha matangazo yenu.
Hii ndio picha yetu ambayo "Team Idd" imeitumia bila ridhaa yetu
3 comments:
Women for libe,tumechoka kuburuzwa
Idd na vijimambo( dj Luke) team moja!!! Kumbe.....niliachwa mimi ndio
Nilikuwa sijuwi....njaa mbaya sana
Idd umempa nini dj wetu hata maadili ya uwandishi akayakiuka?
Team lipe acheni kuogopa na kudanganya wana dmv.mbona team Libe wanatumia picha za watu kila siku wamemwomba nani?ushahidi upo wa kutosha kwa hili. Libe toa sera zako ndio tunataka kusikia
Post a Comment