Ukweli usio pingika ni kuwa; darasa la
Kiswahili lilisimama bila kutarajiwa na watoto wamekosa elimu ya Kiswahili kwa
zaidi ya miezi sita. Watoto hawa na
wazazi wao hawajui tarehe ambayo darasa litarudi wala darasa litakuwa kwenye
eneo gani. Hili linathibitika kwenye
maelezo ya Ndg. Idd Sandaly ambapo katika insha yake ya maneno zaidi ya 580;
hakuna hata sehemu moja aliyo ainisha tarehe na sehemu ambayo darasa litarudi. Huu ni usanii wa waziwazi mchana kweupe. Ukweli
mwingine unao umiza ni kuwa; ni zaidi ya miezi sita toka darasa lisimame na
watoto wameshaanza kusahau yale walio fundishwa!
Maswali ya kimsingi ya kujiuliza ni kama
yafuatayo:
Kufungwa kwa kanisa kulikuja kwa kushtukiza?
Je, tarehe ya darasa kurudi ipo wazi kwa
watoto na wazazi?
Je, mitaala ya darasa la Kiswahili ilikuwa
na “gap” ya miezi sita?
Je, uongozi ulikuwa na plan “B” baada ya
mkataba wa kanisa kuisha?
Je, eneo la darasa ambapo litarudi (kwa
madai ya Ndg. Idd Sandaly kwenye insha ya maneno ya zaidi 580) linajulikana kwa
watoto na wazazi?
Jibu lolote la “Hapana” kwenye swali lolote
hapo juu linadhihirisha kuwa liberaus Mwangombe yupo sahihi kuwa darasa la
Kiswahili ni wazo zuri lakini lilikuwa na “poor planning” and “poor execution”
Team Libe for DMV President haitaongelea
darasa la Kiswahili tena na inafunga huu mjadala kwa kusema, Darasa la
Kiswahili ni wazo zuri, lakini lilikosa “SMART GOAL” (good planning) kwa sababu
kuu moja; darasa la Kiswahili halipo tena! Wazazi na watoto hawajui litarudi
lini na wapi.
Mwanaid Love “Mona”
Team Libe for DMV Community President 2014
Campaign Manager
UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL
1 comment:
NAOMBA NIMJIBU ASHA NYANGANYI KAMA IFUATAVYO:
NIMEONA SHUTUMA NYINGI UNALENGWA WEWE KISTARABU ULUPASWA KUJIUZURU KWENYE TUME KAMA KWELI HUNA CHOCHOTE UNACHOPATA WHY HAUJIUZURU?
Mbili
KUSEMA KUWA WEWE UMEZALIWA NA
KUKUWA KWENYE PUBLIC HOME SIO KWELI LABDA UNAMDANGANYA HUYO IDD ASIYEKYJUWA
WEWE UMEISHI NYUMBA ZA SEREKALI RESIDENCE KAMA AMBAVYO WATANZANIA WENGINE WAMEKAA KWENYE NYUMBA ZA SEREKALI HIZO SIO PUBLIC HOME KAMA.UNAVYODAI UMEISHI NA KUZALIWA.MAY BE PUBLIC HOME NI HII YA UBALOZI KWA
MAWAZO YAKO NA HATA KAMA NI HIVYO UMEKAA ONLY 5 YEARS HUKUZALIWA HAPO AU KUKUWA HAPO KWA LEO NITAISHIA HAPA.TOA MASSAGE HII SIJAMTUKANA MTU NIMESEMA UKWELI BAADA YA KUONA ANAPOTOSHA JAMII NA UKWELI
Post a Comment