Libe for DMV Community President 2014
Naitwa Betty Kyomo, kura yangu nampigia Libe
LIBE ATOSHA!
Namfahamu Libe kama kijana mdadisi, anapenda kusaidia, msikivu na husimamia anacho amini. Pia Libe ni kijana muwazi, mkweli na asiye penda makuu wala huwa hayumbishwi. Naimani na Libe anaweza kutuongoza; haangalii itikadi za dini wala siasa. Hata Tanzania yetu tumelelewa hivyo ndio maana tulikuwa na marais tofauti ambao ni Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Mh. Ally Hassan Mwinyi, Mh. Benjamin Willium Mkapa na sasa tuna Jakaya Mrisho Kikwete. Libe ndio TURUFU yetu wana DMV
Libe for DMV Community President 2014
UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL
No comments:
Post a Comment