Na Ebou Shatry/ShwahiliVilla
Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" July 4, atembelea ICU ya University of Maryland Medical Center, kwaajili ya kumuangalia Bwana Ronnie Wilson ambae ni mume wa Quizellah Ntagazwa alielazwa katika Hospital ya Baltmore Maryland.
Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" alipomtembelea bwana Ronnie Wilson ambae ni Mume wa Quizellah Ntagazwa huku University of Maryland Medical Center iliopo Baltmore Maryland nchini Marekani (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" wa kwanza kulia akiwa na Alex Kassuwi Quizellah Ntagazwa wakimpa pole Ronnie Wilson ambae ni mume wa Quizellah Ntagazwa
Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Liberatus Mwang’ombe "Libe" akimpa maelezo Alex Kassuwi kuhusu kielelezo cha maeendeleo ya Bwana Ronnie Wilson ambae ni mume wa Quizellah Ntagazwa
Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Liberatus Mwang’ombe "Libe" akitoa maelezo
Quizellah Ntagazwa (katikati) akipata picha ya pamoja na Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV BWANA Liberatus Mwang’ombe "Libe" pamoja na Alex Kassuwi baada ya kumsanahi mgonjwa Ronnie Wilson ambae ni mume wa Quizellah Ntagazwa mkaazi wa DMV Maryland nchini Marekani
No comments:
Post a Comment