Naitwa Yusuf Godson Liuzio mimi namuindozi
Liberatus Mwang'ombe “Libe” for DMV President kwa sababu DMV tunahitaji
mabadiliko na nina imani na Libe kwamba ataipeleka DMV kwenye “Next Level” na
kuwaweka Watanzania pamoja na kuwarudisha Vijana kwenye Jumuia kwa hiyo wanaDMV
na wapenda mabadiliko naomba tujumuike pamoja tumchague Libe.
Yusuf ni mmoja wa Vijana waliokuja kujiunga na
jumuia yetu ( DMV) hivi karibuni chini ya miaka miwili iliyo pita akitokea
Russia amboko alikuwa Medical School
Student. Japokuwa amekuwa katika jumuia yetu muda mfupi tuu; ameweza kutambua
uthaifu wa Iddy Sandaly kuto kuwajumuisha "NEW COMERS" katika Jumiya
yetu .
Idd Sandaly alishindwa kutaka kujua Changamoto zinazojitokeza katika
maisha ya Mr. Yussuf mapya ya hapa USA .
Yussuf japokuwa alikuwa akikutana na Idd
sandaly zaidi ya Mara 3 kwa wiki ( Ager Road area); au kufanya
nae mazoezi ya mpira Pamoja, IDD SANDALY HAKUWEZA KUONA UMUHIMU WA KUMTAMBUA/KUMSHIRIKISHA
AU KUJARIBU KUTATUA CHANGAMOTO ZAKE KATIKA MAISHA HAYA MAPYA KWAKE
No comments:
Post a Comment