Misa ya Kiswahili - Uhuru na Kuiombea Marekani, July 27, 2014 Baltimore, Maryland
Kutoka kulia ni Benadeta Kaiza, Liberatus Mwangombe (Amembeba mtoto), Marry, Mbunge Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) na Magdllenny baada ya misa ya Kiswahili
Juu na chini kutoka kushoto ni Mbunge Joshua Nassari, Baba Paroko-Padri Evod Shao, na Liberatus Mwangombe "Libe" baada ya misa ya Kiswahili
Juu na chini kutoka kushoto ni Liberatus Mwangombe "Libe", Benadeta Kaiza na Mh. Nassari
1 comment:
Nice picture people ✌✌✌✌✌
Post a Comment