Saturday, July 5, 2014

Liberatus "Libe" aungana na baadhi ya waTanzania DMV katika sherehe za 4th of July, nchini Marekani

Na Ebou Shatry/ SwahiliVilla

Katika sherehe za Siku ya Uhuru wa Marekani zinazofanyika kila mwaka  ifikapo tarehe 4, mwezi wa saba (4th of July), ambapo katika sherehe hizo, Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe, aungana na baadhi ya waTanzania waishio DMV kwenye sherehe za uchomaji nyama za pamoja ziliofanyika siku ya Jumamosi mchana kwaajili ya kuungana na wananchi wa Marekani katika kusherehekea sikuku ya 4th of July zilizofanyika nchi nzima

Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" akiwa katika Park yapamoja na baadhi ya waTanzania waliokusanyika kwaajili ya kusherehekea sikuku ya kuzaliwa kwa United States of American, maarufu kama 4th of July (PICHA zote na (swahilivilla.blogspot.com)
 Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" akiwa katika mazungumzo ya kubadilishana mawazo na baadhi ya waTanzania aliokutananao katika sherehe za 4th of July zinazoendelea mwishoni mwa juma hili. Kulia kwake ni kampeni meneja wake, Mona





 Mgombeya wa urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe" akiongea neno


Nyama choma iliyoandaliwa na  Baadhi ya waTanzania katika sherehe za 4th of July



1 comment:

Mbele said...

Hivi wa-Tanzania mnasherekea nini katika siku hii? Ningependa kujua tafsiri yenu ya maana halisi ya hii siku.