Thursday, July 31, 2014

BREAKING NEWS: UCHAGUZI DMV: MEDICAL DOCTOR, HABIB SHAMTE, AT HOWARD UNIVERSITY HOSPITAL ENDORSES LIBERATUS MWANGOMBE “LIBE”

Habib Shamte: Medical Doctor (MD) at Howard University Hospital
Registered Nurse (RN) for over 10 years

 WE NEED LIBE. LIBE NEEDS YOU. VOTE FOR LIBE ON August 9, 2014

I confidently endorse Liberatus Mwangombe “Libe” for DMV Community president. Libe, a Registered Respiratory Therapist-RRT, Neonatal Pediatric Specialty-NPS, and holds Masters in Public Health- MPH.  In my years of knowing Libe, I have found him totally trustworthy and incorruptible.

Libe’s well-known commitment to accountability in public affairs will promote an atmosphere of openness and transparency in our growing DMV community. If you want to see honest people in our community, join me in supporting Liberatus Mwang’ombe "Libe" for DMV Community President. 
Libe akitoa soma la "airway management" kazini siku ya "Skills Fair"

Kwa maelezo zaidi juu ya "Team Libe for DMV Community president 2014" wasiliana na:

Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager 202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass.  Manager   240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist                 301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser                               240-426-8272 
Liberatus Mwangombe "Libe                         240-423-3331

UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

UCHAGUZI DMV: Liberatus Mwan'gombe atoa ufafanuzi wa Udini na haki ya kupiga kura

Liberatus Mwangombe "Libe" afafanua yafuatayo:
-Kulipa-kujiandikisha na kupiga kura
-Jinsi ya kuipatia kipato jJumuia
-Uchaguzi na imani za dini za watu
-Huu uchaguzi unahuzu HOJA na sio kujadili watu


Kwa maelezo zaidi juu ya "Team Libe for DMV Community president 2014"  mwangombe Libe" wasiliana na:
 
Mwanaid Love "Mona" / Campaign Manager 202-374-2666
Omby nyongore /Camapaign Ass.  Manager   240-595-5100
Alawi Omari / Campaign Strategist                 301-339-3765
Amri Maliyatabu / Adviser                               240-426-8272

UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

BREAKING NEWS: John Nduguru endorses "Liberatus Mwangombe" for DMV Community President 2014

John Ndunguru PhD-  MBA

WE NEED LIBE. LIBE NEEDS YOU. VOTE FOR LIBE ON August 9, 2014 

John Ndunguru akiwa na waziri wa utalii Lazaro Nyarandu pindi alipo taka kuwekeza nyumbani. kukosekana kwa "Diaspora policy" kuliibana ndoto yake

John says... "From the day one I saw Liberatus Mwangombe “Libe” in the earl 2000’s, I have watched him growing with much pride, principles and respect.  Today I can state with certainty that, Libe is a truly loving person with good ethics and morals.  In all he does, Libe exemplifies honesty, fairness, and thoughtfulness.  I believe Libe will use those qualities to create a better balance to all DMVians."

WE NEED LIBE. LIBE NEEDS YOU. VOTE FOR LIBE ON August 9, 2014
Libe says... "Nimeongea na John Ndunguru na amenieleza jinsi kukosekana kwa "Diaspora Policy" kunavyo tunyima maslai wana diaspora. "Diaspora policy" ni moja ya sera zangu na nimemuahidi John kuwa nitaitendea haki "diaspora policy" siku wana DMV mkinipa ridhaa." 

UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL

UCHAGUZI DMV USA: IDD SANDALY NA MRADI MFU WA VITABU ULIO IGHARIMU JUMUIA $1200.00

Na Faustus

       Ndugu Idd Sandaly inakubidi uache kulialia na uwe mkweli kwenye Jumuia yetu. Mimi Faustus mkazi wa DMV nimechoshwa na uongo unao utoa kwenye “social media” wa kujigamba kuwa umekusanya vitabu kwaajili ya nyumbani Tanzania. Idd, kwa nini unaongea UONGO, ilihari unajua kuwa “MRADI WA VITABU” ni MFU? Ndg. Idd Sandaly umekuwa ukiuelezea Umma wa DMV na duniani kote kwa kujinasbisha na picha za vitabu kuwa mradi huo ni wa mafanikio. Muogope mungu kaka! Unajua wazi kuwa mradi huo wa vitabu ni mfu na umeisababishia jumuia hasara ya $1200.00.

Mradi huu wa vitabu ambao Ndg. Idd Sandaly unautumia kwa kampeni haujailetea manufaa yeyote jumuia yetu, bali hasara ya “storage fee” ya $1200.00.  Ukweli ni kuwa ulikusanya vitabu hivi ili upige picha bila kujua ulilokuwa unalifanya. Matokeo yake imethibitika pasi na shaka kuwa hivi vitabu haviendani na mitaala ya Tanzania. Kwa hivi sasa baada ya mradi huu mfu wa vitabu kuitia hasara jumuia ya $1200.00 (storage fees) inafanyika mipango ya kuvitupa.
Huu ndio mradi wa vitabu ambao Ndg. Idd Sandaly anajinasbisha nao kwa picha.UKWELI; mradi huu umeipa hasara jumuia ya $1200.00 na sasa vinataka kutupwa

Ukweli mwingine unao umiza ni kuwa (source; kutoka ndani ya uongozi wa jumuia), “All Afrika Logistic” ilijitolea kusafirisha vitabu hivi hadi Tanzania bure. Zaidi, vitabu huwa havilipiwi kodi. Cha ajabu ni kuwa Idd Sandaly ulikataa kutumia fursa hii na kuendelea kuviweka vitabu hivi “storage” ambapo vime iingizia gharama jumuia ya $1200.00. Kilicho nyuma ya pazia kuendelea kuweka vitabu hivi storage ni kuwa; Idd Sandaly umekuwa ukisafirisha mizigo Africa; kabla ya kusafirisha mizigo yako umekuwa ukiihifadhi storage na hivyo vitabu na kupeleka “bills” kwa jumuia. Maswali ya kujiuliza ni yafuatayo;

  • ·   Je, Vitabu hivyo vilikuwa vingapi na vilikuwa na ukubwa gani hadi viigharimu jumuia $1200.00
  • ·  Pili, vitabu hivyo vilikaa “storage” muda gani hadi viigharimu jumuia $1200.00

Itakuwa ni busara kwa Ndg. Idd Sandaly kuuelezea Umma wa DMV kwa nini unatumia mradi huu MFU kwenye kampeni; huku ukitambua wazi kuwa mradi huu umefeli. Hii inadhihirisha usanii kama ulio ufanya kwenye insha ya maneno zaidi ya 580 ukielezea kuwepo kwa darasa la Kiswahili; huku ukishindwa kueleza lipo wapi (address) au kuwa specific na tarehe ya kurudi.

Faustus




Tuesday, July 29, 2014

SERA ZA MGOMBEA URAIS WA DMV COMMUNITY LIBERATUS MWANGOMBE “LIBE”


LIBERATUS "Libe" MWANG’OMBE, MPH, BSRC, RRT-NPS.
Intern:The Division of Health Interview Statistics (DHIS) at the National Center for Health Statistics (NCHS)/United States  Center for Disease Control and Prevention (CDC)


Ushirikiano na Umoja
  •  Uongozi huu utaimarisha ushirikiano  na ubalozi wetu pamoja na wizara ya mambo ya nje, ili kupendekeza “Diaspora policy” itakayowapatia wanaDispora nafasi za kazi, mikopo nchini Tanzania na kuwezesha uraia pacha.
  • Pia tutahakikisha waTanzania  wanapatiwa fursa ya kuongea na viongozi wa serikali wakiwa kwenye ziara hapa USA, ili kujadili mambo mbali mbali  yanayoendelea nchini.
  • Mapendekezo ya  kurekebishwa kwa katiba yatafanyika awali,  ili kulinda haki za wapiga kura DMV  (Kupiga kura iwe haki kwa kila mTanzania na sio "benefit", yaani sio pay-register and vote)
  • Uongozi huu utafanya maamuzi kwa kufuata katiba ili kuleta amani, umoja na mshikamano.
  • Uongozi huu utakuwa wa uwazi na ukweli. “UWAZI na UKWELI”  ni msingi wa Imani na kichocheo cha Uzalendo
  • Katika uongozi wetu kila Mtanzania atapewa heshima stahiki na haki ya kusikilizwa na kushirikishwa 
Baraza la Ushauri

Monday, July 28, 2014

OFFICIAL STATEMENT: "TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014" SUSPENDS CAMPAIGNS FOR EID CELEBRATION

To respect Muslim and Eid celebration; we, “Team Libe For DMV Community President 2014” have suspended our campaign today Monday, July 28, 2014 until July 29, 2014.

“Team Libe for DMV Community President 2014” wishes all Muslim in the DMV and around the world a very blessed, joyous and peaceful Eid Mubarak.


EID MUBARAK

"TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014"

UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL




EID MUBARAK FROM “TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014”

May the Guidance and Blessings of Allah be With You and Your Family!

This last month has been a time of fasting, reflection, spiritual renewal, and service to the less fortunate. “Team Libe for DMV Community President 2014” wishes all Muslim in the DMV and around the world a very blessed, joyous and peaceful Eid Mubarak. 

May Allah accept your good Deeds; forgive your transgressions and ease the sufferings of all people around the Globe.

EID MUBARAK
TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014

UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL