Thursday, October 8, 2015

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang"ombe "Libe" ambaye anaonekana kuzoa umaarufu kila uchao kwa weledi wake wa kutoa hotuba zenye kuwaleta watu pamoja na kuwaita vijana katika siasa. Mh. Mwang'ombe amekuwa gumzo jimboni Mbarali kiasi kwamba amekuwa akisimamishwa na watu mbalimbali mitaani hadi wanafunzi. Leo akifanya mkutano wa kampeni Rujewa ameweza kukusanya watu wengi na kusindikizwa na msafara baada ya mkutano hadi ofisi za CHADEMA wilaya. 






Kwenye hotuba yake Mh. Mwang'ombe amesisitizia umoja, ushirikiano na maslai ya Mbarali bila kujari mlengo wa chama wala itikadi. Ameweza kutoa historia ya Mbarali kuanzia kipindi cha mbunge wa kwanza kwenye jimbo hilo Mh. Kanali Mjengwa na kueleza namna alivyo isaidia Mbarali. Uwezo wa Mh. Mwang'ombe kuelezea historia ya Mbarali kumewakuna wengi na wametoka kwa kauli moja kuwa "2015" ni mwaka wa Mwang'ombe

Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574



Tuesday, October 6, 2015

PICHA: MH. MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE

Ni mwana Diaspora Liberatus Mwang'ombe anaye onekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbioza kuelekea Dodoma. Mwang'ombe amekuwa akikusanya watu wengi sana hata akisimama kwenye vijiji vidogo ambavyo havina watu wengi. Pichani akiwa kwenye vijiji viwili vidogo ambavyo havina historia ya watu kuhudhuria mikutano ya kisiasa; lakini ilikuwa tofauti kwa Mh. Mwang'ombe

Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574 
Juu na chini: Wananchi wakiomba Ukodaki moment na Mh. Mwang'ombe, Igunda, Mbarali


 Swaga imekolea Igava, Mbarali

Sunday, October 4, 2015

MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" ameendelea kuwa mwiba kwa wagombea wengine kwa kukusanya makundi ya aina mbalimbali, watoto, wazee, vijana na kinamama. Mh. Mwang'ombe amekua akitoa hotuba kwa uhodari wa hali ya juu na kuwafanya watu wa Mbarali kuwa na matumaini na kujisikia wapo wamoja.

Moja ya kipengele chake kweye hotuba kinacho wavutia watu ni pale anapo sema "hatuunganishwi kwa itikadi zetu, vyama vyetu, jinsia zetu, dini zetu wala makabila yetu; bali tunaongunishwa kwa changamoto zinazo tuzunguka, changamoto za maji, afya, ardhi, TANAPA, miundombinu, elimu na afya. Hizi ndio kero zinazo tufanya tuwe wa moja na tukapige kura kumchagua mtu sahihi wa kuzisimamia, mtu huyo sio mwingine bali ni Liberatus Laurent Mwang'ombe".


Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574



 Juu na chini: Mh. Mwang'ombe akibadirishana mawazo na watoto wa darasa la sita ambao walimfuata kila anako kwenda baada ya mkutano

JUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE

 Ni Libertus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi DMV (Virginia, Maryland na D.C.) ameonekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbio za kuelekea Dodoma.  Mh. Mwang'ombe amekuwa akikusanya umati wa watu na kushangiliwa kwa sana. Watu wa Mbarali wameonyesha kumkubali kijana huyu ambaye hotuba zake ningi zimekuwa hazina lugha chafu, zina waita watu wa Mbarali kuwa wamoja na kupigania maslai kwa pamoja.

Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574








Friday, September 25, 2015

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA DIASPORA, USA, AENDELEA KUWA TISHIO MBIO ZA UBUNGE


 Juu na chini akiwa Ubaruku. Chini anachukua maswali baada ya mkutano

Ni Liberatus Mwang’ombe “ Libe”, au kama watu wa Mbarali wanavyo muita “Mnyamwezi” aliye wahi kukaaa DMV (DC, Maryland na Virginia) ameendelea kuwa gumzo kwenye mbio za Ubunge jimboni Mbarali.  Mwang’ombe amekuwa akivunja rekodi kwa kila mkutano anao fanya; amekuwa anakusanya watu wengi sana kuliko kipindi chochote cha ubunge jimboni Mbarali

Uwezo wa Mwang’ombe kutoa hotuba za umoja, ushirikiano na bila kuweka uchama imekuwa chachu na kigezo cha kuwavuta wana Mbarali wengi.   Zaidi, Mwang’ombe amekuwa akiongea na watu wa kila aina hadi wa CCM ambao ndio mahasimu wake kisiasa: amekuwa akiwafuata CCM na kuwapa mikono kitendo ambacho kimekuwa kikiwashangaza watu wengi.  Kumekuwa na kasumba ya watu wa CCM na CHADEMA kuto kusalimiana na kuogopana kipindi cha kampeni; tofauti na Mh. Mwang’ombe ambaye amekuwa akipita hadi kuwasalimia watu wa CCM hata kama yeye ni CHADEMA.
 
Alipewa uchifu siku ya ufunguzi
Watu wa kila pande ya jimbo la Mbarali wamekuwa wakizungumza kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya Mh. Mwang’ombe; huku wengine wakisukuma gari lake baada ya mikutano, wengine wakimzuia barabarani hadi ashuke ili wamuone, wengine wakitaka atembee nao barabarani kuonyesha umoja na mshikamano.

Liberatus Mwang’ombe anaomba msaada kwa waTanzania wote, diaspora na waliopo nchini, wamsaidie kufanikisha harakati za kwenda DODOMA. 

Mh. Mwang’ombe anaomba michango ya kifedha ambayo inaweza tumwa kupitia WAVE-App,  M-Pesa number  +255 752 494 409

Au kama una mchango na huna WAVE-App wasiliana na

Rehema 301 367 9711
Jabil         240 604 0574

Lukresia 240 593 5973



Kwa picha zaidi endelea kurasa ya pili

Monday, September 7, 2015

PICHA: JUST PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YA KAMPENI ZA MWANA DIASPORA LIBE. #DAY 6&7

Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" aliye wahi kukaa DMV, USA na sasa yupo kwenye harakati za kwenda Dodoma.
Libe katika ubora wake
Libe akiingia mkutanono na ulinzi shirikishi
 Mafuriko ya mbunge

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO TANZANIA

Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" au wenyewe wana wa Mbarali wanamuita "Mnyamwezi" amekua kivutio kwa vijana, wazee, wakina mama na kina dada. Mh. Mwang'ombe amekua akizoa kundi la watu kila sehemu anayo tembelea. Vipeperushi vya Mh. Mwang'ombe vimekuwa vikigombaniwa na watu kunyang'anyana. 

Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wa Luhanga, Utengule na Igurusi wamesema Mh. Mwang'ombe ni mkombozi wa Mbarali baada ya mateso ya CCM kwa mika mingi. Wamesema walimtuma  Mh. Mwang'ombe Marekani akapate maarifa ili aje kuwaokoa.  Watu wa Mbarali wanalalamika juu ya ardhi, mashamba, maji na huduma za afya.

 Juu na chini; wananchi wa Utengule Usangu wakigombania vipeperushi vyenye picha ya Mh. Mwangombe

Mh. Mwang'ombe  anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali itikadi wala tofauti zao kumsaidia kwa hali na mali ili atimilize ndoto ya kupenyeza hoja za diaspora

Msaada wa fedha unaweza pitia number yangu ya Vodacom 255 752 494409 kwa kutumia "WAVE" App. Au kwa kwenda gofundme Diaspora Bungeni 2015

SUNTRUST BANK
Jina: Liberatus Mwangombe
Routing number: 055002707
Acc number: 1000101437878

YOU CAN NOT CHANGE DODOMA FROM OUTSIDE
UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

Monday, August 24, 2015

BREKING NEWS: MWANA DIASPORA KUTOKA DMV AWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" katika ubora wake ameweza kukonga nyoyo za watu wa Mbarali na Watanzania kwa ujumla. Mwang'ombe ameingia kwa style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa wakivaa kombati au sale za CHADEMA: Yeye, Mwang'ombe, alitokea halmashauri akiwa amepigilia suti nyeusi na tai nyekundu huku akiwa anakitambaa chenye rangi za CHADEMA na beji ya CHADEMA.  Wana Mbarali wengi wameonyeshwa kufurahishwa na Mwang'ombe aliye onyesha style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa wakivaa kombati na sare za CHADEMA. Pia, Mwang'ombe ameonekana ni mtu mwenye kujiamini na kuongea na kila mtu hapo halmashauri. 

Baada ya kupokea fomu ya kugombea Ubunge Mwang'ombe alionekana akimgusa gusa bega mkurugenzi wa halmashauri huku akiongea naye na kumshukuru kwa kuwezesha zoezi hilo la uchukuaji wa fomu.
Liberatus akinyesha fomu
Liberatus akipokea fomu
Msafara
Majadaliano kabla ya makabidhiano ya form
Signing out
Kuondoka halimashauri

FIRM: CONFIRMED: BEYOND THE REASONABLE DOUBT: MWANA DIASPORA KUELEKEA BUNGENI KWA SAUTI YA DIASPORA


Ndugu zangu wana Diaspora; Nimeanza kazi ya kutengeneza vipeperushi na harakati nyingine za kampeni. Tunatarajia kuzindua kampeni Jumapil August, 30, 2015.  Leo nimetengeneza vipeperushi vya kuvaa shingoni 500 kwa Tsh 400/= each. Vinahitajika atleast  20,000. Nimetengeneza 16 vikubwa vya kuweka kwenye magari, Tsh 6250/= each. Jimbo ni kubwa sana; lina wapiga kura 143,189.

Kwa leo nimetumia Tsh 300,000/= kwa vipeperushi 500 vya shingoni na 16 vikubwa kwaajili ya kuweka kwenye magari. Vya shingoni vitahitaji kamba ya kuvalia shingoni ambayo inagharimu Tsh 400/= each.  Kwa hiyo, vipeperushi 20,000 ni Tsh 16,000,000/= au $ 8000.00. Naomba msaada wa kifedha au mawazo, namna ya kufanikisha malengo tulilo jiwekea ya kuingia Bungeni na kuwasilisha agenda za diaspora sisi wenyewe.

Msaada wa fedha unaweza pitia number yangu ya Vodacom 255 752 494409 kwa kutumia "WAVE" App. Au kwa kwenda gofundme Diaspora Bungeni 2015

SUNTRUST BANK
Jina: Liberatus Mwangombe
Routing number: 055002707
Acc number: 1000101437878

YOU CAN NOT CHANGE DODOMA FROM OUTSIDE
UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

I'm Liberatus Mwang'ombe, I approve this message.

Friday, January 30, 2015

Police brutality in Tanzania and the right to rally

The police brutality in Tanzania is transgressing our basic right, the right to rally or match.  Tanzanians’ tolerance towards such ferocious polis acts has got to the threshold and now is dwindling.   Most of the CCM maniac legislators are either oblivion or sycophantically using police force to stay in power.  They fawning, flattering and incite polis to infringe our basic right, the right to rally/match.  

Mh. Lissu has been inimitable on the clip attached to this article. He is thriving to explain the obligations of police force when civilians practice their basic right, the right to rally.  He further vindicates that police has no constitutional right or obligation to halt or provide a permit to rally.  It is common sense; you don’t need a permit to practice your basic right, for example, right of speech, right to rally, right to protest; you only need to inform! Police has no mandate to impede maandamano but ensure peace and harmony during maandamano

The police brutality toward one of the most prominent politicians in our generation Mh. Lipumba and his followers sets our nation cohesion at steak.  Our national peace is heading down the spiral; is getting murky!  It is evident the officers have defied Mh. Lipumba and his followers’ constitutional right, the right to rally.  Coherently someone has to be accountable for the officers’ malicious act to defy this basic right, the right to rally.  Lissu is absolutely correct on this one.

Our generation is curious, questioning and beginning to understand where we are, came from and wanna go.  We demand answers and don’t wanna be minion anymore, but owners of our destiny.  I’m calling diaspora to say something about the violations of human rights back home.  Lets step up!




Sunday, November 16, 2014

MWANA-DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE "LIBE", ATOA "INSPIRATIONAL SPEECH" KWA FORM FOUR

Hotuba ikiendelea
Akiongea na watahiniwa wa kidato cha nne siku mbili kabla ya mtihani wa Taifa 2014,  shule ya secondary Montfort iliyopo Rujewa, Mbarali, Mwana-diaspora na "alumni" wa Montfort Secondary kutoka Washington, D. C., Marekani,  Liberatus Mwang'ombe "Libe" alianza kwa kusema, Montfort ni shule aliyo soma na anajisikia faraja akiyaona mazingira yale.  Aliendelea kwa kusema, maamuzi ya mwisho ya kila binadamu yapo chini ya himaya yake.  Alisema "huwezi kutegemea mtu baki au mwingine aongoze au arutubishe maisha yako, ni wewe binafsi unaweza kufanya tofauti kwenye maisha yako na kila binadamu ni kiongozi.  Pia alisema anaamini kuwa kila binadamu ana ndoto zake kwenye maisha; alisema; "ni muhimu kujiwekea malengo ya ndoto zenu. Malengo ambayo yanatimilika, malengo ya kiuhalisia na malengo yenye muda maalumu." Aliendelea na kusema, "ndoto bila malengo itaendelea kuwa ndoto na kutimilizwa kwake kutaendelea kuwa ni ndoto tu."  Mwisho Ndg. Libe aliwaomba wanafunzi hao wasimuangushe kwa kuweka malengo kwenye ndoto zao na kuhakikisha wanazitimiliza.

 Mbali ya maongezi Ndg. Liberatus alichangia miundombinu ya elimu kwa wanafunzi hao
Moja ya wanafunzi akimshukuru Liberatus kwa kukumbuka alipotoka
Juu na chini Libe akiendelea kubadirishana mawazo na wanafunzi

Wednesday, November 12, 2014

CASE UPDATES: ATC Metro DMV Community vs Sandaly, Nyang'anyi, et al

Association Of The Tanzanian Community In America, Washington Metropolitan vs Sandaly, Nyang’anyi, et al

Hearing date is on Nov 26, 2014, 8:30am at Circuit Court for Howard County - Civil System. Save the date.


Financial record subpoena

We have received ATC Metro Financial Records from PNC Bank.  Two years record; since 2012 to date.  Preliminarily analysis of the record shows discrepancies.  For example, checks have been written to individuals who we doubted at the first place, debit transactions, major withdrawals prior to election, etc.  The record is concealed at this moment and shall be revealed to public when right time comes

DONATION AND MORE INFO ABOUT THIS CASE CLICK HERE
 
Thank you so much for patience and unconditional support. 

Tuesday, November 11, 2014

KATIBU WA CHADEMA DMV, USA, ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CHADEMA TANZANIA

Katibu wa CHADEMA DMV, USA, Liberatus Mwang'ombe amefanya ziara ya kutembelea makao makuu ya CHADEMA jijini Dar Es Salaam. Kwenye ziara yake aliweza kufanya mkutano na Dr. Wilbrod Slaa na mratibu wa mambo ya wabunge CHADEMA, John Mrema. Pia Ndg. Liberatus alipata fursa ya kujadili changamoto zinazo wakabili waTanzania kwa ujumla na mbinu za kukabiliana nazo. Zaidi walijadili namna ya kutatua changamoto hizo na kuhakikisha Tanzania inakuwa ya waTanzaia na sio watu wachache.
 Juu na chini; Katibu CHADEMA, DMV, USA, Liberatus Bagasa Mwang'ombe (aliye simama) akiwa na katibu Mkuu CHADEMA, Dr. Slaa walipo kutana makao makuu
 Juu na Chini; Dr. Slaa na Liberatus Mwang'ombe wakikaa kwaajili ya picha na majadiliano