Katibu wa CHADEMA DMV, USA, Liberatus Mwang'ombe amefanya ziara ya 
kutembelea makao makuu ya CHADEMA jijini Dar Es Salaam. Kwenye ziara 
yake aliweza kufanya mkutano na Dr. Wilbrod Slaa na mratibu wa mambo ya 
wabunge CHADEMA, John Mrema. Pia Ndg. Liberatus alipata fursa ya 
kujadili changamoto zinazo wakabili waTanzania kwa ujumla na mbinu za 
kukabiliana nazo. Zaidi walijadili namna ya kutatua changamoto hizo na 
kuhakikisha Tanzania inakuwa ya waTanzaia na sio watu wachache.
 Juu
 na chini; Katibu CHADEMA, DMV, USA, Liberatus Bagasa Mwang'ombe (aliye 
simama) akiwa na katibu Mkuu CHADEMA, Dr. Slaa walipo kutana makao makuu
 Juu na Chini; Dr. Slaa na Liberatus Mwang'ombe wakikaa kwaajili ya picha na majadiliano
No comments:
Post a Comment