Monday, August 24, 2015

FIRM: CONFIRMED: BEYOND THE REASONABLE DOUBT: MWANA DIASPORA KUELEKEA BUNGENI KWA SAUTI YA DIASPORA


Ndugu zangu wana Diaspora; Nimeanza kazi ya kutengeneza vipeperushi na harakati nyingine za kampeni. Tunatarajia kuzindua kampeni Jumapil August, 30, 2015.  Leo nimetengeneza vipeperushi vya kuvaa shingoni 500 kwa Tsh 400/= each. Vinahitajika atleast  20,000. Nimetengeneza 16 vikubwa vya kuweka kwenye magari, Tsh 6250/= each. Jimbo ni kubwa sana; lina wapiga kura 143,189.

Kwa leo nimetumia Tsh 300,000/= kwa vipeperushi 500 vya shingoni na 16 vikubwa kwaajili ya kuweka kwenye magari. Vya shingoni vitahitaji kamba ya kuvalia shingoni ambayo inagharimu Tsh 400/= each.  Kwa hiyo, vipeperushi 20,000 ni Tsh 16,000,000/= au $ 8000.00. Naomba msaada wa kifedha au mawazo, namna ya kufanikisha malengo tulilo jiwekea ya kuingia Bungeni na kuwasilisha agenda za diaspora sisi wenyewe.

Msaada wa fedha unaweza pitia number yangu ya Vodacom 255 752 494409 kwa kutumia "WAVE" App. Au kwa kwenda gofundme Diaspora Bungeni 2015

SUNTRUST BANK
Jina: Liberatus Mwangombe
Routing number: 055002707
Acc number: 1000101437878

YOU CAN NOT CHANGE DODOMA FROM OUTSIDE
UNITED WE STAND: DIVIDED WE FALL

I'm Liberatus Mwang'ombe, I approve this message.

No comments: