Na Liberatus Mwang'ombe
Audio clip hii hapa chini ni Mh. Idd Sandaly akikili mchango wangu kwenye michezo DMV kipindi cha kampeni za urais 2012. Mimi, Liberatus "Libe" nilikuwa namfanyia kampeni pia. Zaid, Mh. Sandaly anaahidi kuisadia timu ya mpira kifedha ili aiwezeshe timu kushiriki mashindano ya Diaspora World Cup. FACT; baada ya Uongozi kuingia madarakani, jumuia iliipa kisogo timu ya mpira. Kwa maana, jumuia haija wahi kutoa hata sumni kwaajili ya timu. Ahadi hii haijatimilizwa hadi leo na imeendelea kuwa HEWA.
LIBERATUS "Libe" MWANG’OMBE, MPH, BSRC, RRT-NPS.
Intern:The Division of Health Interview Statistics (DHIS) at the National Center for Health Statistics (NCHS)/United States Center for Disease Control and Prevention (CDC)
Audio clip hii hapa chini ni Mh. Idd Sandaly akikili mchango wangu kwenye michezo DMV kipindi cha kampeni za urais 2012. Mimi, Liberatus "Libe" nilikuwa namfanyia kampeni pia. Zaid, Mh. Sandaly anaahidi kuisadia timu ya mpira kifedha ili aiwezeshe timu kushiriki mashindano ya Diaspora World Cup. FACT; baada ya Uongozi kuingia madarakani, jumuia iliipa kisogo timu ya mpira. Kwa maana, jumuia haija wahi kutoa hata sumni kwaajili ya timu. Ahadi hii haijatimilizwa hadi leo na imeendelea kuwa HEWA.
Nimeulizwa
swali Viber na Aunt Ashura, hili swali limekuwa likijirudia rudia na limekuwa
gumzo kwenye comments za Vijimambo; swali lenyewe ni hili
"Libe,
unataka urais DMV, ukiacha uliyo yafanya nyumbani, Tanzania, ni nini umefanya
DMV ?"
Pia,
kuna mtu amenipigia simu na kuniuliza swali kuwa huwa ninachangia misiba lakini
sihudhurii.
Majibu
yangu ni kama ifuatavyo;
Kwanza
kabisa, nilikuwa nimepanga kuto ongelea maswala ya misiba kwani sitaki kuchoma
hisia za watu walio athirika na kupata msongo wa mawazo kwa kuondokewa na
wapendwa wao wa moja kwa moja. Wiki
iliyopita dada Asha Nyang’anyi alituasa tusiongelee misiba kwani ni kutonesha
vidonda na machungu ya ndugu wa marehemu.
Naheshimu mawazo ya Dada Asha, lakini kama hili swala la misiba
litaendelea kuleta sintofahamu; nitalijibu.
Sasa
naenda kwenye hoja ya msingi: Nini
nimeifanyia DMV?
-Mosi,
nimesha mtoa mTanzania jela kwa kumuweka bond ( jina linahifadhiea na
litatolewa ikibidi)
-Pili,
nimekuwa nikishirikiana na DJ Lu kuipeleka team ya DMV (Soccer) nje ya State
kifedha na uchezaji
-Tatu,
mwaka 2013; nimeiwezesha team ya TANZANIA kushiriki league kwa kuchangia zaidi
ya $1,000.00 (Approximately $1,500.00) kutoka mfukoni mwangu
Hapa ni baada ya kuiwakilisha DMV North Carolina na kurudi na kombe. Tulilikabidhi kombe kwa Balozi Mwanaid Maajar na yeye alitukabidhi rasmi Mirage Hall
-Nne,
nime isaidia team ya mpira Tanzania DMV mwaka huu kwa kutoa $500.00 ili kushiriki Diaspora
World Cup
-Nne,
Nimewachangia waTanzania walio wekwa jela immigration (Majina kapuni, yatatolewa itakapo bidi)
-Tano,
kwenye jumuia part 2012 ya mwisho wa mwaka nilishiriki kufanya usafi baada ya
kumalizika party nikiwa mimi, Didi Vava, Evans na wengine. Viongozi wengine
walitoweka
-Sita,
kwenye party ya mwaka huo huo 2012 nilikabidhiwa idara ya ulinzi pale ndani
Houston TX baada ya kuifunga Serengeti Bosy na kuchukua kikombe nikiiwakilisha DMV |
-Saba,
nimewawezesha waTanzani watatu kupata I-20 ( Hawa wapo out of the state)
-Nane,
nimewapeleka baadhi ya waTanzania kwenye test MVA na gari yangu; bure (names
are enclosed). Yatatolewa ikibidi
-Saba,
Nimeweza ku-empower baadhi ya waTanzania kwenda college; wengine wapo college
sasa na mmoja amegraduate
-Nane,
nimeweza ku co-sign watu ili wapate makazi (majina kapuni)
-Tisa,
nilisimamia mashindano ya Vijimambo soccer 2012 ambapo DC Nyarugusu ilikuwa
bingwa
-Kumi,
nimekuwa nikijitolea kufundisha mpira wa miguu kwa watoto chini ya miaka 19, 14
na 7 kwa zaidi ya miaka saba. ( Ukihitajika ushahidi nitaleta barua ya wazi kutoka kwa kocha wangu wa
shule)
Mwisho,
naomba na nawahasa watu wa upande wa pili tufanye kampeni kwa hoja na sio kushambuliana
binafsi na kuzushiana mabo ya uongo. Uchaguzi huu ni fursa kwa wana DMV kuwa
na uchaguzi wa kihistoria na wenye mvutano mkubwa wa hoja. Lets practice real democracy 2014!
Libe akiendelea kuiwakirisha DMV na kuitangaza Tanzania dhidi ya Liberia
Key:
MPH: Masters in Public Health
BSRC: Bachelor Science Respiratory
Care
RRT: Registered respiratory
Therapist
NPS: Neonatal Pediatric Specialty
Wasiliana nasi, simu: 240 423 3331
Email: liberatusm80@hotmail.com
Tembelea blog yetu ya uchaguzi Bonyeza hapa
Tembelea ukurasa wetu wa Facebook Bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment