Thursday, October 8, 2015

JUST IN: MBIO ZA UBUNGE: MWANA-DIASPORA AKUTANA NA WANAFUNZI MBALMBALI

Kila anapo pita mwana-Diaspora kutoka Marekani, Liberatus Mwang'ombe, "Libe",  amekuwa akivutia watu na wanafunzi kutaka waongee naye. Akiongea na wanafunzi wa Rujewa Day na Mawindi Secondary Mh. Mwang'ombe amesema anaandaa "Town Hall Meeting" ambapo atawaalika wagombea Ubunge wote Jimbo la Mbarali, wanafunzi na wasomi wote wilayani Mbarali kwaajili ya majadiliano. Kwenye mkutano huo wagombea wataulizwa "vision" zao juu ya Mbarali na wanafunzi hao. Tarehe ya "Town Hall Meeting" itakuwa October 17, 2015
 Mwang'ombe akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi
Juu na chini: Mh. Mwang'ombe akiongea na wanafunzi wa Rujewa Day Secondary na chini akiwa amesimamishwa barabarani na wanafunzi wa Mawindi secondary


Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574
 





No comments: